Hapa Kazi Tu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Mangufuli aamrisha stesheni mbili za redio zilizokuwa zinamkashifu zifungwe haraka iwezekanavyo. Pia siasa na mikutano za upinzani zimepigwa marufuku nchini humo.

Kwa habari zinginezo, Rais huyo alikosa kuhudhuria mkutano wa Ticad6 uliofanyika Nairobi.

Mangufuli HOYEE! CCM HOYEE!

[ATTACH=full]55052[/ATTACH]

6 Likes

Hata Moi hakuwa na ujinga kama hii

5 Likes

This dude is repressive like crazy. He has banned everything. In Africa if you don’t get a thief you get a madman. Sometimes you get both.

22 Likes

Ungati, Ungati Mtupu!!!

ombi langu tu ni asifunge jamii forums juu wend wazimu wengi sana wanaeza hamia hapa

10 Likes

angehudhuria TICAD na alikuwa makini kusikiza redio?

6 Likes

This cartoon is either mad or stupid, or both

5 Likes

Retarded president. What does he gain for not attending Ticad summit.Na pia anaharibu biashara sana ya wakenya wanao toa bidha kule tz.Got a pal container yake ya mchele imekatazwa kupita pale border.Ati rais mugfool amekataza bidha kama mchele kupita kwa muda usiojulikana.Retarded Mofo

4 Likes

Vile mnavyosema kuwa siasa mbaya huleta maisha mabaya. Kuna uhuru wa kila kitu lakini sio kutukana mkuu wetu na kutumia lugha mbaya. Nakuambia Kama hupo hapa kwetu TZ, basi utajua kuwa ufisadi is fighting back with any means necessary hata wakitumia viombo vya habari

And some guys were telling us he is the paragon of what presidents should be

2 Likes

Wewe ndie retard mkubwa hapa ktalk

Jipe mavi moja kwa niaba yangu. KHASIA

I am not a fan of Uhuru but even I prefer him over this idiot

Moi aliuwa sana

Sawa mdudu

Uongozi wa kiimla. Kushtumu mtu kwa jambo alilolifanya, au kuelezea maoni yako haifai kuwa hatia. Yeye sio perfect eti hana doa. Watu wakiliona doa wanyamaze vipi? Wamemtusi rais vipi? That’s how countries tumble down like a pile shait in an abyss.

Si The Retard is a childhood friend of The Monkey Trader. [SIZE=1]Grabs an anti meffi helmet[/SIZE]

12 Likes

hahahahaaha…We here bro.

1 Like

:D:D:D:D:D Huyo alirogwa na mchawi aliyemroga akaaga.

1 Like

In the run up to the elections, they banned The East African.
Time ya election they DDOSed the shit out of Jamii forums, ilikuwa out for a week and only came back after the presidential results were announced.
CCM and Kikwete played really dirty to get this guy elected, it seems he has decided kucheza chafu is what will keep him in ofice.

1 Like