Hapa Kazi Tu: Wenye Wivu Wajinyonge

http://thisisafrica.me/wp-content/uploads/sites/4/2016/01/Screen-Shot-2016-01-25-at-08.59.53.png

[SIZE=6]Tanzania starts training tailors as regional ban on second hand clothes loom[/SIZE]
[SIZE=5]By This Is Africa on August 24, 2016 — Tanzania has started a programme to train tailors in anticipation of plans to implement a regional ban on the importation of second-hand clothes and footwear by 2019. The training is in accordance with the government’s industrialisation plan, and the East African Community’s plan to boost regional trade.[/SIZE]

1 Like

:D:D:D

Hii urejareja ndo hunifanya nidharau tz vibaya sana. Who told your president that the 20bob that a tailor will get for mending a tear on my clothes will translate to significant boost to the economy.

This is being too petty for your president

1 Like

Haha @Mtanzania Magufuli ndio tailor number one.

1 Like

Mitunda clothes zimeathiri viwanda vyetu.

1 Like

Signs za ungati ndio hizo sasa. Simu bado anatumia ya 2009 ju aliinunua expensive…
[ATTACH=full]54635[/ATTACH]

4 Likes

Hakuna ubaya hapa. Mitumba yapigwe marufuku na watu wachape kazi

1 Like

Wewe dharau sasa hivi, utaheshimu baadae.

Sio simu yake buda, hata kama ya kwake, shida ni nini. Hiyo ni simu ya mwenye iyo mashine.

1 Like

Hio ni kuonyesha ana tabia za kiimla. Kama ni yake, si yake ningejuaje, mimi huwa sifuatilii kasheshe zake…

So no more Hugo Boss suits in Tanzania. I’m going to open a shop in Mombasa.

Hehe reminds of my aunt who recently got married to a sponsor-type old man. Yaani huyo mzae ni ngati hadi we have to make side deals that rip him off ndio aunty apate pocket money

4 Likes

Kwani ni bro ya urezo Maguufull?

1 Like

:D:D:DThat type of ngati. Ndio unawapatanga na Peugeot 504

3 Likes

hehe huyo rais wenu ni luwere

hii mambo ya farmer number one, tailor number one, kawasaki rider number one, cook number one etc etc tulikuwa nazo pia wakati wa MO1
sasa nyinyi mko 1978 baba

4 Likes

Hehe huyo mzae ako na posho mill na aunty ndio ako hapo kwa kuuza lakini mzae hukaa bumper to bumper hadi mfuko yake ndio Kama cash box coz ata change yeye ndio hupeana…but I think aunty is playing ‘long’…

2 Likes

On this particular issue, TZ is right to plan ahead. Remember it’s going to be a regional ban; not a ban in TZ only. WaKenya tutasubiri hadi last minute ndiyo tuanze kuomba muda wa ziada.

Anangojea kamzae ka-kick ama anapanga kukaRIP?

No need. Kenya should also pull a fast one on the idiots and backtrack on the deal. After all, they are infamous for doing exactly that.

2 Likes