Lazima Wakenya wajitibu ili wapunguze mawazo. Sio watu wote wanaeza afford Smirnoff na Johnnie Walker.
[ATTACH=full]496713[/ATTACH]
Lazima Wakenya wajitibu ili wapunguze mawazo. Sio watu wote wanaeza afford Smirnoff na Johnnie Walker.
[ATTACH=full]496713[/ATTACH]
mbona wana haribia mtu franchise ?
Mahali Kenya ime fika start brewing your own shit. Kila kitu ni fake like the Kenya Kwanza government.
Hizi ndi hustua transformer mpkaka ina dedi kable supply any. Bill ina kuacha wazimu. Bure kabisa. Ngombe ici.
Hiyo ya chupa ya green ni gani?
Black & White whiskey
Hapa ni sawa, gava shud encourage and support cottage industries
Are you mad?
Do they fake beer too? The other day I took a can of White cap na design mwili ilirespond sikufurahia
I encourage local brew but isiwe harmful. Kitu kama busaa, muratina,mnazi na kalovoo. Hakuna vile tutakunywa EABL halafu all profit ipelekwee Europe na diageo.
In the absence of a chemist report, we shall give the entrepreneur the benefit of doubt.
Some warehouse in Thika had fake pilsner and Guinness sometime back.
That is (counterfeit) liquor being bottled from those dirty buckets and maybe labelled as the original brand, sold (to unsuspecting customers) and you think that is ok?
You are just making my point albeit using a different language. Bila certificate ya chemist, we cannot condemn the manufacturer until we adduce evidence that what he is bottling is radically different from the real deal. Smirnoff Vodka ni chwaka imeoga na kupaka marashi tuu. Enzogu dry gin ya kakamega hakuna tofauti na Gordon’s dry gin.
Watu wa rudi kwa pombe za kitamadu. Chang’aa ya busia ni safi
Jambasi amefanya.
Niaje mzito.
Sisi watu wa guiness tuko safe
lets start here…is the manufacturer licenced to do manufacture and bottle for human consumption?
Charcoal syrup in under R&D, to be launched soon