inaniuwa polepole tuuu bibi amefunga mlango akaficha kifunguo , nawatch BFG in 3D . ukiangalia hio remote hapo chini utaona imeandikwa 3D . ahsande .
[ATTACH=full]62859[/ATTACH]
inaniuwa polepole tuuu bibi amefunga mlango akaficha kifunguo , nawatch BFG in 3D . ukiangalia hio remote hapo chini utaona imeandikwa 3D . ahsande .
[ATTACH=full]62859[/ATTACH]
peasants munaendeleaje ?
Is it a swag nowdays to spread used newspapers on the table?. ushamba na peasantry itatumurder!!
Unkoli sasa unasumbua. Am being carried by country porepooore.
heheheheeh bingwa Virus imenishika
sijasema uko na UMAMA
FALA ni FALA tuuuuuuuuuuuuuuuu
Pea bibi pesa anunue table mat ama uuze hio tv ununue meza ina adabu…mahogany hivi. CHIETH
Ukinywa hizo vitu zako acha ziandamane na dawa za maasai. You will thank me later.
Panya mzee oa kwanza ndio uniongeleshe . chieth ya @FieldMarshal CouchP wewe
@Electronics4u kumbe uliiuzia anko @uwesmake SOQNY
@introvert njoo uwekee hii kwa gunia wiki hii
[ATTACH=full]62873[/ATTACH]
being the 1st to comment on your own thread is like… ango malizia hiyo sentensi!
hehehehhe hio Homescience naona ukipata first class BMY ( Best Mod of the Year )
wanking to @FieldMarshal CouchP s Avatar
Kumbe hii jangili hututisha hapa na counterfeit za China? Asi??? [ATTACH=full]62875[/ATTACH]
wewe mujinga hata i think uli fail computer packages . CC @Mzee mzima
Mimi nimekuwa kama mtoto wa lower primary. Sahii ndio nimekumbuka report na nimekuwa nacheza tu weekend yote :(:(
Coffee kwa mpango na njugu. Nikitoka hapa ni kuamshana na kupanda mmea kwa fujo
:D:D:D:D:D:D SOQNY
kuja nikupee loan niko behind target
Ata ungesema sikuenda shule wacha packages but I know a counterfeit when I see one, mende.