hangover

inaniuwa wadau saidieni mimi nimeumia kutoka saa tisa nilipo amka , leo hata sijaenda kazini bibi ananicheka ati nimepata dawa ya kulewa hata leo siwes enda kukunywa . janaa jamaa ameangukia pesa akatununulia wote na manyoka jameson litre each na ilikuwa oriji mbona naumia hivi , nimetoka kutapika atleast na feel better . waacha ni hug Sanchez nione kama ntatulia .

[ATTACH=full]85597[/ATTACH]

sasa hio ugali kilo moja nilikuwa nimekula imeenda hivo tuuu

Kufa eskariot,kura yako haitusaidii.

10 Likes

kesho ntakununulia Gibleys

1 Like

leo ninakunywa punch ya chrome naps na legend na nibebe mtuu

Nunua delmonte mango,pombe niliwacha.

4 Likes

hizi vitu unakunywanga siku moja utaamka kwa jikoni ya shetani

1 Like

bora huyo shetani asikuwe ndume

4 Likes

wankle bado unasumbua

2 Likes

nice dog…looks like a GSD long coat pedigree…

Toa lock

daktari i sell dogs , unahitaji ?

how much for that specific dog? how old? fully vaccinated with its card?

2 Likes

Avoid police cases,hio Dogie ni ya muhindi.

10 Likes

…means? GSDs should not be owned by africans ama?
i have ever owned one a GSD long coat, fully vaccinated. Fully trained on obedience. My take is that they are faithful, good, obedient guard dogs yet lethal dogs…which can become dangerous if not handled well

1 Like

…he he …nimeelewa…so pia hiyo nyumba ameiba kwa muhindi ama?

1 Like

inbox chief

Eskariot anafanya kwa muhindi,you don’t get it?

1 Like

Wewe ni kalewa na hujui kutibu hangover yako mwenyewe.

saidia prisss