inaniuwa wadau saidieni Navy seal . nimeshindwa hata kukamua bibi , sina appetite naskia kusimama na kichwa . dawa ni gani wasitoo . sijui mbona hangover yangu hukuja usiku .
kunywa maziwa ya shepart
ngombe
mdau @Mtanzania Magufuli saidia
Siwezi kosa maji ya gas(sparkling water) kwa fridge. Hio ndo huwa my hangover cure.
ukinyua mchana hang’ii itakupata usiku…and vice versa…
Hii hangover yenye unashindanga ukilia hapa kila weekend si ufanye venye ulifanya last weekend ikaisha…chupid
nichukue gas niwekee ndani ya fridge ? ama niweke gas ndani ya maji ama nichemshe maji na gas .
Cech saidia mimi ngombe ya wenger
Boss kumbe wewe ni paka vile unajifanya Weider kwa kijiji? Kula rice na piece mbili za nyama utulie…
Sparkling water, kwani haujui hio ni nn? Uliza Patel kesho.
Mijinga, its carbonated water…ama Schweppes or whatever
so nichukue maji niboil kwa schweepes na hii schweeps ni unga ya ugali ama ?
sparkling kiaje ? ni chukue mirror ni reflect kwa maji ama ?
Ngombe uncle uwes. Ulikuwa undercover wapi?
So you must drink, must it be chang’aa? No. Si uache tu
nisaidie solution ya saa hii , short term solution omwami
tafuta glucose ya mtoto kwa hiyo nyumba koroga yotr kwa maji ukunyue na uwache kusumbua…
uwesukimwi si your mungiki wife ata kumaliza na panga vile unashindwa kumkamua