Hangover Sacco

[ATTACH=full]114067[/ATTACH] Dawa ya kutibu hangover wangwana ,njeri amepika hii nikateremusha na maji kwa wingi na tot mbili za Smirnoff niko sawa ,leteni ideas?

swafiii …ongezea supu na utakua sawa

Yes huyo ni wetu kabisa amekumbuka kuweka carrots kwa kachumbari na kwa mamboga

Mashakuraaa

Amesahau avocado, naona hii ni impure sampuli ya @Ice_Cube .

Mix Njeri. Uyu ne Mundu wa mucii

Unamaanisha nini omwami?

U2tp

Shakura ya harusi ya mugikuyu. Ni pilau tu alisema hataki.

Afande unasumbua sisi

Uotp…

wewe mahali utanyamba kusikue na mtu anavuta fegi hapo karibu

Walai ulikula hiyo mathoganio utakufa afande :D:D

hiyo food iko sawa afande utatoka hapo ukiimba RWNBP kama uwesmakende

Such food hupikiwa wanamme wenye hawatosheksngi

Ungua polepole. Sio sisi tulikutuma.

Hii ni kuku ya grade, skulagi broiler mm…kienyeji hadi downtown

Kunywa supu ya kuku na pilipili.

hapo sawa padre

Sisi tunakula
[ATTACH=full]114069[/ATTACH]