Aftermath za ulevi ya jana, nimeamua nikunywe Black Coffee, then sijui ni shaitani ngoma madimoni yamenishika nikasema niispike na double shots za “Gibleys”. Wueh, nakwambia hio ni kama kuingisha kidole kwa haga ya punda.
Sai nasweat hata kwa makucha, standing ovation iko full mlingoti.
3 Likes
Mimi ati nikasema nionje Ballantines ilibaki jana…sasa naona game ya Maizeko na Portugal watu wakiwa 42 kwa uwanja. Sijui kama final nitafika.
2 Likes
:D:D:D:D
Ongezea hyo kahawa ya @kender9 ujione ukiwa coach wa Portugal :D:D:D
1 Like
:D:D:D:D:D:D:D:D