Hamjamboni!

Mimi mwalimu Elgin ni mkufunzi wa shule moja ya kutajika kataika kaunti ya makueni…huu utovu wa nidhamu katika skuli zetu za upili tufanyeje kama wazazi au wazazi watarajiwa? naomba mnipe maoni vile twaweza suluhisha

Uweskamau…hâta upitie kwa fence tunakusheki.

6 Likes

Mimi sio uliotaja. Hata admin anajua mimi ni Mwalimu…Usije ukapoteza hii posti mwanakijiji,nakusihi.

Kataika ndio nn?

Katika, makosa ya hijai hayo…nisamehe kwa leo mwanakijiji

1 Like

Usiku mwanana wanakijiji.

Ngoja kwanza ni deal na hii kilo ya Veve kisha nitacomment baadaye.

1 Like

Ungesema,Wacha kwanza wacha nile kilo ya mairungi kisha nitakujibu baadaye. sawasawa mwanajiji mtajika?

1 Like

Senior Villager kwa Kiswahili sanifu ni nini?

Mzee wa Kijiji=Village elder. Uliyoyataja mwanangu hayapatikani katika Isimu rasmi mwanangu…

Senior Teacher huitwa nani? Ni serikali tu mnapenda kusumbua.

Mwalimu mwandamizi

Senior villager=Mwandamizi wa kijiji.

1 Like

Mbona kasema twasumbua serikali basi?

E ujinga ni ya familia ama ni ya kuzaliwa nayo… Maneno hayo katika lugha ya Kiingereza ni?

bursted! mwalimu waiganjo. senior villager= mwanakijiji mwandamizi

Sioni swala nyeti mnalo lijadili hapa.

Mtasuluhisha na nani?

:D:D:D:D

@Koolibah …Hata miye nimejaribu kumfuatilia huyu ‘mwalimu Jini’ @Elgin kwa karibu sana lakini nina tashwishi na uhakiki wake na pia vile vile namshuku sana hasa katika ufasaha wake wa lugha. Siye mkwasi wa lugha anavyo jaribu kubainisha yale anaulizwa.Anabambanyabambanya!!!