[ATTACH=full]498468[/ATTACH]
[ATTACH=full]498469[/ATTACH]
[ATTACH=full]498468[/ATTACH]
[ATTACH=full]498469[/ATTACH]
So, msee aishi Butt-so-so
wewe enda uishi huko
Batsotso ni wajomba wangu
A very nice place with rivers, streams and wetlands. Nina rafiki pale Indangalasia karibu kwa Chief Mukoshi.
Huko si place ya ku rent. Kama unaeza afford 2 bedroom Nairobi huko unanunua na kujenga.
So you agree the only reason anyone even bothers to rent in Nairobi is coz land is overpriced as fuck
Ha ha ha, what a small world I know the Mukoshi/Khalumi family.
Nairobi is cheap.
I have realized most ushagos hike the prices of appliances, etc
ushai skia online shopping?
Online shopping in the middle of nowhere.
Online shopping has never worked huko interior
Kwani unatambua Emusala area?. Nishawahi tembelea huyo Chief pale Emukaba market nikisindiza rafiki yangu kutengeneza land purchase agreement.
I know him and the entire family, I used to work with his daughter.
Nice.
The Chief is a polygamous man, wake wake wawili huishi in the same compound. Yule mkamba na Mluhya.
Nikiwa job nilikuwa naskia sijui watu wa Optiven wamekuja naanza tu kucheka ka nimejipa shughuli. Very overpriced city.
Almost every lanye in Kakamega stays in joyland…
Market huko senate kwa wakongwe,vijana ni watu wa town.
why do they need to hawk land like njugu kranga if there is so much demand, mtu akuje kukubeg ununue shamba kwa ofisi, is a sign that whaever they are selling mark it down by at least 50%
Mtu ashawai kuniambia 1/8 shamba 350k with 10% deposit + 5 years plan nikajua hapo ni ukora. Kwetu hiyo pesa ni one acre na sisumbuani na mtu.