Halloween: Kenyan Version

I have noticed that this Halloween culture has really penetrated our Kenyan society. Do Kenyans really have any clue of what this celebration is all about ama tu nikucopy mzungu kama mazuzu?

If Kenyans are really serious about Halloween culture, tuanze huko Kisii kwa kina @Eng’iti. Wachawi na night runners wafanye show kubwa watuonyeshe their art.

Tupande huko Western kwa kina @uwesmake tuonyeshwe hizo macabre cultural practices kama kuosha maiti na kupika chai na hiyo maji. Or kuforce mjane alale na mwili ya marehemu bwanake.

Tuende huko kwa kina @PHARMACY watuonyeshe vile wao hufanya nyuki zimtembelee mtu au kufanya tools za two adulterous adults zishikane kama zimeekwa super glue.

Tuteremke coast tuone uchawi ya wagiriama na hizo wanawake majini naskia wanabadilisha miguu inakua ya punda.

That’s how Kenyans should celebrate Halloween.

Asi?

Wakale hamna vituko:D?

Vitu kina @uwesmake ufanya ata shetani ushangaa.

Naskianga kuna wale who borrowed or bought those dark powers from our neighbors, the Kisii. Hizo vitu naskianga huko mashinani.

I don’t know about making tea but look up manyasi oath.

Na huko Eldama Ravine wamama watuonyeshe vile wanachangamkia molilo.

Vile inafaa. Let everyone bring up those dark, weird practices.

Alaf turudi Eldoret tuone talai wizard wakifanyia fiongos wa ponde la ufa ile kitu

Kabisaa!

But for Christmas its okay right? Its even a public holiday

No difference with Halloween. Foreign culture penetrating deeply and entrenching itself.

Christians Dio customers wale wazuri saidi wa waganga :smiley:

Sura ya Uwesmakende ni kama ya Freddie Krueger