Halima Mdee....

Bwaaahaaa bwaahaaa, yaani nimecheka mpaka kamasi limenitoka. Nyie ndio mliochangia mitandao kuwekewa sheria kali. Mwenyewe anaamini alipendeza sana ndio maana watu wamechangia hela za vyoo. Hapa ndio nikikosa bundle nakuwa mgonjwa kabisa.

Ni vizuri kuota

Duuh hhhh

Hhh

[quote=“Tindo, post:21, topic:164842”]

Bwaaahaaa bwaahaaa, yaani nimecheka mpaka kamasi limenitoka. Nyie ndio mliochangia mitandao kuwekewa sheria kali. Mwenyewe anaamini alipendeza sana ndio maana watu wamechangia hela za vyoo. Hapa ndio nikikosa bundle nakuwa mgonjwa kabisa.
[/QUOTE
Hhhhhh[/QUOTE]

Aiseeeeeee

Yajayo yanafurahisha sana

Tutaona mengi sana katika Tanzania hii ambayo uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu ajabu

Mapenzi ni kikohozi

mimi nimeoza kwa yule kivuruge naibu wa spika tulia

Hivi huyo binti bado kuolewa?

nimekua na halima utoto wangu wote,namjua vizur ni mtoto wa prof mdee amezaliwa pale ubungo pale mtaa mmoja kampani yake ilikua ni wanaume tu

nikupe tu taadhari halima ni msagaji toka kitambo xana alishawafanya watoto wa watu wengi tu pale kitaa

hanaga swaga za kike yule

Bashite hiyo picha kaa yupo kwenye jeneza vile.

Naona mada ilianza kwa kumsifia Mrembo. Halima Mdee, sasa imeibukia kwenye kumsifia mrembo Dokta Tulia. Yaani Tulia kampindua Mdee!! Jamani Tulia ni mrembo jamani, acheni tu. na hasa akitabasamu weee! utachekea chooni mweee!!! mwenzenu halafu kaolewa, mke wa mtu eeheee, yupo pale Akson asije akaua mtu. ni angalisho tu wakuu.

jinsi anavyoonekana mnoko inawezekana mshikaji anapangiwa ratiba isiyo rafiki ya migegedo
jiwe ladha zake ni vyeupe,la sivyo…

Inapendeza… though waache ukorofi…

Cc: @Mahondaw

Hahahahahh nami nifanyie mpango wa viatu vya matairi ya gari hapo umasaini.

Mmmmh kumbe nje ya Ofisi nae ni Demu fulani tu murembo anafaa kwa matumizi ya KiDume kama mm japo kuoa…

Hahahaha Mkuu umetisha

Mkuu nna wasiwasi na machaguo yako. Acha niishie hapo