[ATTACH=full]177065[/ATTACH]
Ukishaanza kula nyama ya Mtu ni ngumu sana kuacha…
Na ALAANIWE huyu jamaa.
Muda si mrefu TCRA watasitisha account ya Gerson Msigwa pia ile ya Twitter maana sidhani kama amejisajili.
Na bado
Mambo ndio kwanza yameanza…nchi mzima itaimba wimbo mmoja…
Ile ya vituo vya television zote kujiunga na tbc habari ya saa mbili usiku iliishia wapi!?
Mambo ya ajabu saaana.
Waje kijijini huku, wameng’ang’ania nini mjini huko!?
Aiseee
Back home mambo si mambo
Sisi huku PWANI tuna kamsemo ketu: KILICHOMPATA MAMBA NA KIBOKO KITAMPATA…
Bongo sasaivi kila kitu usajiri,haya mambo mbona awamu iliyopita hayakuwepo
wanasema unavuna ulichokipanda, CCM wajiandae na mavuno ya wanayoyapanda sasa
Ila tutazoea tu
Yeah! No situation is permanent
Maneno ya Tundu Lissu yanaanza kupata heshima.
“Kwa sheria hizi hakuna aliye salama”
Alivyokuwa anaongea kuna media zilimuona kama mropokaji kumbe Leo ndio kinawarudia.
[QUOTE=“Mwanga-Lutila, post: 1672727, member: 37072”]
Maneno ya Tundu Lissu yanaanza kupata heshima.
“Kwa sheria hizi hakuna aliye salama”
Alivyokuwa anaongea kuna media zilimuona kama mropokaji kumbe Leo ndio kinawarudia.
[/QUOTE
Kabisa.[/QUOTE]
Sisi wa PWANI, tunasema, “kilichompata Mamba na boko kitampata!”
Aiseee
aiseeeeh
Kwani wamejaribu kuja huku uhamishoni wakasumbuliwa? Mimi na wenzangu tunafurahia UHURU katika Nchi HURU ya UHURU.