Hakuwa amekula kuku siku mingi

Naongelea ule shining eyes Wakanyama. Mseh hakuwa amekula kuku siku mob…kidogo kidogo akaona hii
[ATTACH=full]51489[/ATTACH]

We all know what happened next. Ehe as expected shining eyes alipiga hio doosh sweep na akachinja
[ATTACH=full]51491[/ATTACH]
Akaipika pale mtaani…Alafu akatengeneza kasembe. Mseh Ako excited mbaya hadi ametoa Shati ndio achafue hio sembe na kuku…kidogo kidogo kabla aweke avocado a naskia mlango inabishwa…anauliza ni Nani? Anaskia ni sisi KWS…fungua hii mlango haraka ulionekana ukivamia mnyama wa porini.
[ATTACH=full]51497[/ATTACH]
To be continued…

47 Likes

Tropical (clean & polish) alikuwa akimaliza ajipanguze mdomo vizuuri…

3 Likes

Anachoma hiyo kuku kama imekaa design mbaya sana.

10 Likes

[ATTACH=full]51498[/ATTACH]
hehehe, epic shot, did he 123tokambio?

6 Likes

@Wakanyama

Anakula aki polish food?

3 Likes

HEHEHEHEH SIWES MIND KUROAST MARABOU STOCK NIKULE , PART TWO WEKELEA VILE SHEMEJI YAKE NAVY SEAL UWES ALIKUJA AKAKULA UGALI YOTE .

:D:D:D:D:D:D:D

3 Likes

VERY SWEET BIRD AFTER KUPIKA MOJA ILIBIDI NIIWEKE KAMA AVATAR YANGU
TAMU SANAAAA!

4 Likes

uko germany na kitu ikifanyika kwa neighbor unapost wa kwanza kabla nijue

5 Likes

he he he ,hio kitu ilikuwa tamu mpaka nikaitia navy seal shemeji uwes akiwa undisclosed location

9 Likes

Huyu anakaa mzee mijinga baada ya kuchoma shule.

2 Likes

NGURU BACHELOR AKIANZA MAISHA KWA BEDSITTER UNAWEZA PATA HATA VIATU KWA SUFURIA

5 Likes

Bachelor ukula chakula kwa sufuria

1 Like

@Guru HUKUONA @imei2012 AKIPIKIA KWA CHOO NA @kush yule mnono MADEM WAMECHAFUANA KWA BEDSITTER YAKE NA AKITAKA KUPIGA SIMU ANATOA KICHWA NJE YA DIRISHA

12 Likes

Hehehe hii stori ni kali

1 Like

hehe this is gold

1 Like

imekamatia chini ama ni kushora saba

Eish hii imenimalisa na vile nilikua na mood mbaya, hungover ya Konyagi na Guiness kiasi na kaduda kangu sijui kakao wapi, ndugu tafasali msinitafute

2 Likes

OLDSKOOL BONGO ANYDAY

https://www.youtube.com/watch?v=-csDvANAFtc

3 Likes

Hio hapo ni coca cola ama turungi?