Sambamba na hilo…
Ujerumani haifiki mbali…
Brazili haifiki mbali…
Argentina haifiki mbali…
Spain hawaendi kokote…
Unaweza rudi jamii forums tafadhali msenge? Ibilisi wewe. Kwa jicho yangu wewe ni mafi ya umbwa mzee
mshambulizi wetu hodari Maddie kagere anaenda simba.
hahaha mpira ni mipango na ujuzi. Sio maombi, dua, bahati nasibu, ukabila, unchi na ubara.
nimefurahi sikuwahi kutukanwa kikenya. hongera
Yule yuko vizuri. waafrika wenzetu wote wa Worldcup wangekuwa na morali kama yule jamaa, ningetabiri hata kuchukua kombe.
Timu zetu zinacheza kama timu yangu ya simba kwenye fainali ya sportpesa.
Kusema haziingii 16 bora ni maandalizi ya kiasikolojia.
wakina Omera kama nyie ndio huwa mnajinyonga kama mpenzi wa messi kule india. Argentina wazito,wavivu,hawajitumi jamaa halioni linajinyonga.
tenganisha hisia na ujuzi
uliamia simba lini, si wewe ni wa yanga.
I waz hia
simba kitambo mkuu. Sijawahi kuikubali yanga tangu nimeijua. Ila huwa sikubali ujinga hata kama ni timu yangu.
Ona huyu!! Ninge unleash weapon of mass destruction lakini ni vile nacheza chini
hahahaha
Not really ,at least one team will go through,Mark my words
Argentina are going through, mark my words, Portugal wont make it past the last 16 stage…FACT
:D:D:D
Viva Le France!!!
Uruguay wanachukua hii kitu
Argentina anaenda ‘16’ tena kwa kishindo no doubts. Sorry Nigeria;)
Argentina wanatoka leo
I pray for Nigeria. I watched a commentary for 1 hour. There was no mention of Nigeria for 45 minutes until 1 spanish host said hey, we have talked and no mention of the opponents of Argentina. Nigerian defense is poor though.