Hakuna product inachapwa advertising kama hii. Hope it has broken even

Jooz juice. from billboards, prime time adverts, social media campaigns..Ata niliona billboards shagz

2 Likes

Biz ni ya kasongo?

Mango = @carthozweny

1 Like

Wacha birrionaire anukishe kitunguu bila kusumbuliwa meffi

Elder… ulikataa kabsaa kunichanua zile shamba za mutomo niliona wanadai just a few birrions per acre. Nataka 20 acres nifanye farming wazimu nikifika 45 years.