Hakuna marshalling yard kama hii ya Kwala Barani Africa isipokuwa Tanzania Pekee - Wakenya endeleeni kuandamana

Hizi sababu zote zinawafanya wakenya waumie sana

1 Like

Haya mambo yanawauma sana wakenya. Wanatamani Tanzania isiwe na maendeleo.

Haya maumivu wanayopitia kenya hata kama ingekuwa mimi ningepiga kelele sana kwenye social media maana tonge linachukuliwa



1 Like

In Kenya the railway system was built in the early 1900s you guys are just now finishing yours.
Know your place jabroni​:sweat_smile:

1 Like

Kwikwikwi in Tanzaia Built 1897 by German

Kwikwikwi in Tanzaia Built 1897 by German…

Lakini wewe @255 lazima uko kwa ofisi ya Suluhu.

Ngombe wewe

Nimeamka tena na nguvu mpya ili niwatwange muanze kupiga kelele kwenye x.com