Hakimu aliyemfunga Sugu hajawa Jaji?

Nauliza hivyo kwa vile kesi hii ilikuwa na maagizo toka juu. One has to be rewarded and the most likely rewarding gift is to elevate him to the position of a Judge. Na katika nchi hii tulipofikia lolote linawezekana kwa sasa. Anaweza akapewa kuwa Jaji bila kutangazwa na wala bila kufika High Court… lolote linawezekana though looks strange!

Atazawadiwa na shetani kwa kumpeleka kwenye jehanum ya moto wa milele!

Kuna Mungu mtu, nasubiria arejeshe tu ile kodi ya kichwa kwa kila mdanganyika

Anasubiriwa huyu atakayewafunga jela akina Mbowe na viongozi wengine waandamizi wa Chadema ili wapandishwe wakati mmoja.

Naamini jamaa atarudisha muda sio mrefu, ni swala la kujiandaa kisaikolojia tu.!

Akimpenda mke wako tu huyo mungumtu unapata baraka ya ubalozi.

!
!
Siku Nyiiingi

Lahaula lakwata…
Ebu tumuache Cheupe apumue, Kwanza naskia kitoto alicho kileta kina Komwe la haja, ingawa inasemekea eti ukweni wanalazimisha kwamba mtoto anafanana kucha na Balozi… tehteehhh
Kwaleo ebu naomba niishie hapa tafadhali

Hahaaaa…

Unaongelea kuhusu yule cheupe, ambaye mume wake yupo kule Beijing??

Mkuu hapa hakuna marks za adjectives na adverbs mimi ninapenda kucha zangu.

Mama umeyataka mwenyewe ngoja tuone unayamalizaje haya!

mtu mwenyewe anaitwa “pombe” unategemea nini hapo?

Tena ukishakunywa pombe unajifungia na mapadlock.

ni balaa tupu

Mhh

Haaaaahaaaaaa.Eti Pombe. Balaaaa. Ashazalisha mke wa mtu haki anani.

mbeya ndo inanitesa, 219 ndo namba yake

mbeya ndo inanitesa,219 do namba yake.atapewa tuu muda ukifike ypo kwenye waiting list.

Huwa najiuliza kwanini mpaka sasa Lisu sio mwenyekiti wa Chadema after all that;

Akili zenu zimekufa. Huna haya unadiriki kuja huku wakati mnatetea udikiteita wa Jiwe! Ameifungia JF si mmefurahi, sasa huku unatafuta nini?

Jiulize kwanza ilikuwaje kuwaje hadi ukawa shoga.[ATTACH=full]180219[/ATTACH]