Hakika weusi ni Uzuri

labda ni mimi tu sielewi hivi mbona sisi wenyewe tunabaguana ktk rangi,nenda kule love connect utakutana na ubaguzi wa hali ya juu.
Au ubaguzi ukifanywa na mzungu ndiyo ubaguzi

Nje ya mada,naombeni msaada wa kuweka avator maana nimejaribu nimegota.

Na huo weusi ndio umeifanya picha iwe ya kipekee!

Kweli kabisa bandugu, sisi ni wabaguzi wa hali ya juu, huwaweka watu kwenye madaraja huku wakitaja rangi zao.

Jamaa black hadi anaelekea kwenye dark blue

Pure black is real black, adulterated black is shining black.

hii scene niliiona asee na nikahc tu itakua heat, msenegal alianguka jamaa akampa sapot aamke, i liked it kwa kweli, je wajua “poland ndo nchi wanayojiona wao ndo wa zungu pure yan wale original kana kwamb hata wazungu wenzao huwaonaga n copy”. Huyu jamaa asipopewa uambassadar na fifa sidhan, by any means hii inshu fifa hawataichukulia simple simple, mark my words.

Hivi hao mnowaita weupe umewahi kuwa karibu yao? wana ngozi mbaya sana na ndio maana wengine hupenda kujianika juani angalao wapate ule weusi

Hapo sasa.

Hahah!! Na hao ndio Waafrica sasa halisi

Lakini wengine wanapambana kujibadilisha wawe weupe

Acha wapambane tu mana hii rangi nyeusi jau

Kweli mkuu

“Lost Beauty” by Juan Mwaikusa
[ATTACH=full]178639[/ATTACH]
There are only white women around
Awful fakes of white females
Reflecting an awful mass of ugliness
And I want a lady To mount the rostrum with
And declare to the world
'‘Black is beautiful!’'Yes,

I want a black beauty queen
With ebony thighs and huge hips
With skin sweating blackness
And a face dark as the night
And bare breasts bouncing
Vigour and energy.

But my eyes, oh my eyes!
They don’t see anything black;
It’s only white skins and masks
i lashing past and slashing,
Destroying my sight so
I can’t get what i want.

I cry and sing to them
The inbred tune of our people,
I shout to them in the black tongue
But no black sister hears me;
Only white masks I see

I turn and weep upon myself
And then, only then I realize:
I am not black either.

Ni kweli ila jamani huyo wa hapo juu…mhu!

Almost West Africa nzima…Senegal,Gambia,Mali,sierra lione,Liberia, togo etc ni weusi ti aisee…