Haikosi Ni Dem Alimseti. Alikosa Kutoka Hongo Sasa Atakipata

vijanaa na kubrag sana itawamaliza

1 Like

Hizo ni mizinga mwitu yenye akina @johntez_addi_gaza_ms huchapa hapo Dando…hiyo keja ni kali sana for a busaa catalyst

1 Like

Dio manake Mimi hujaza kila shimo ya nyumba yangu na mazingaombwe dio anyone akishika ataparallise immediately na akufue na huko. Msione Sisi wakamba ni wambaya kutumia zile mali zenu za bahari. Huwezi Kam kwangu kuvurunga hata kama wewe ni Nani na uone amani tena . Utashikwa na wazimu na mkufe kwenu wote