A moneyed cousin of ours has abruptly organized cousins meeting on 27th December. I think times have changed. People are grown ups. Some want to spend time with their families bila interruptions. And he expects eti everyone to attend coz he is footing all the bills.
I cut them off after kuoshwa , watu mavi sana. “family” is a scam
most of those meetings ni show off btw.
Sisi we are making up for lost times and love. Parents werent seeing eye to eye so they kept us apart its just now that we are tryin to connect and am realising i missed out on so much coz of my bitchy mum always bad mouthing dads side of the fam. All diabolical lies
Sisi hizo vitu we did while we were kids. Now we are grown ups na mtu ako na shughuli zake.
Enda upige tei na nyama ya Bure. Usisahau kuingia distance cuzo mkia ublame tei
Hizi divisions za family huwa due to wivu. Especially in families with majority ladies or ladies are the older ones.
Usiwe na roho mbaya babayoo. Attend the event and enjoy yourself. Kama huezi enda thend dont do it.
Hapo kwa footing all the bills ndio ikifika time yake ya kukupea fare ya kurudi pipu anakuuliza mbona usisome law ukuwe kama yeye.
Hizi vitu ni show off pamoja na useless Christmas get together parties. Kila mtu anafaa kukaa na bibi na watoto
Hii na high school reunions ni za watu tu wanataka kuflex, kuwashow vile wame make it in life. Siezi tokea ujinga kama hizi.
Kama ni cousins, tutapatana kwa the next funeral ya a relative, na kila mtu ashike njia yake irregardless kama ulikuja na Rangerover ama na matatu.
Wacha uoga meet your relatives network nao you Never know they may come through in your day of distress
Funerals are always a good place to reset family issues.
Nonsense…Infact, avoid doing business with family members..Uliza @miritiandes
I didn’t say business
For the first time this year you’ve spoken sense.
Nmepitia comments na naona elders wana project their insecurities, meet watu… man is a social animal. Kama hauna pesa ama haujaomoka kukosa kuenda meeting haita kufanya uwe tajiri, meet people have fun rudi home. Life is all about EXPERIENCE.
And by the way, ARSENAL FC are playing today and everybody is happy.
Hii maneno @cortedivoire aligusia last week, kaka kodivoa umeaona sasa, watu wengi huanza kujishuku tu wana fail kutembea, until siku ya kashida ndio unajipata kwa whatsapp group unashindwa ya nini yet the last time mliongea ni time kibaki alikuwa rais.. mnanipata sasa?
My point is, you can’t just wake up and tell people there is a meeting on 27th. 27th already naenda house warming party so nilikua na plans. People start making christmas plans early. Hizi vitu zinafaa time si festive season
amesema 1st, 26 days before the D day, na amejitolea. Maybe ni kitu ameishi kutaka kufanya juu hakuna mtu hufanya kwenu. yeye ndio the chosen one
Haha, sasa niache plans zangu niende yake..