https://x.com/amenya_nelson/status/1989286035306762264
1 Like
Hizo spiro look nice. I want to get one I use in the village.
1 Like
Unaeza chukua na loan ukitaka. Deposit 9K
2 Likes
Hii hawezi charge na type C charger
1 Like
… zitakuwa mingi sana hizi nduthi na kastama ni wale wale tu.
1 Like
Future ni kila MTU kua na yake kama huko Shanghai. Unapata family of five kila msee na yake moped, dirt bike, scooter, cruiser…
2 Likes
Kwa barabara zetu na akili za wakenya… itakuwa chaotic saidi..
Juzi tu niko kwa gari kuna kajam.. watu wa boda wanajaribu kupita waende side ingine kiasi wakaanza kutukunana.. nkasikia mmoja ameambia mwingine, “kwenda huko na huyo kastama yako mjinga”.
Hadi kastama akashangaa amefanya nini tena
4 Likes

