Kicking and screaming into the new dispensation for 30 years. Noigwa???!!!
1 Like
"Wakenya wataamini hii pia wacha utaona tu.. "
Jsks: unanimaliza kaka, dealing with them is so easy, waambie maneno matamu tu.
(Jsks anamalizia kwa kicheko na kusema)
Jsks: Mimi sio baba yao my fren, wajitegemee, nchi nitaiwacha vile niliipata…
(Jsks, anaangua kicheko)
“Uhuru si mubaya, ni ware wamemsuguka dio wambaya”
“Uhuru ako na Pesa, hataiba”
Kosokoso
1 Like
