Habari ya jioni

Niaje talkers? Hapa Mombasani twa salimiana saa zote, kuna salamu za kila wakti,

  • Habari ya asubuhi
  • Habari ya kushinda
    Na saa hizi, Habari ya jioni?
    Mumeshindaaje? Birrionaires mumelipa watu? Peasants mumelipwa? Njaanuary tumetoboa. Nini umejimima huu mwezi mgumu? How did you make ends meet? What lesson have you learnt?
    [SIZE=3]Mambo ilikua mabaya ata sikufikisha threshold [/SIZE]
4 Likes

Tuko salama gracefully accepting Amina has lost

1 Like

kama huna kitu ya maana ya kupost wank ulale

3 Likes

Ni sabalkheri ama masalkheri?

1 Like

Navy seal usiwai kanyanga Mombasa

nakujia Tricycle omwami

1 Like

Unasumbua

Chukua breaking news. OUTP brigade will have a field day.
[ATTACH=full]80839[/ATTACH]

For real?

MMNN is digging for the name, subiri kidogo tu

2 Likes

Sawa, Hehehehe politics ni noma.

Tukosalama Ndugu. I have learnt one thing - that I never learn ! Ni hayo tu.

1 Like

Hehehe tiga ngoma hahaha

Mwaga unga bwana meza mate.

Habari ya jioni Kaka?

Naomba ukumbuke kesho bado ni Njaanuary

1 Like

Habari ya jioni Kaka?

Naomba ukumbuke kesho bado ni Njaanuary

This year the only true news on Twitter is Trump twits and Jubilee decisive win in August.

Anything breaking news, give it several hours for verification.

Goodnight.

1 Like

TESO SOUTH MP Mary Emase & her bodyguard arrested in Mawero, Uganda on claims of recruiting Ugandans to register as Kenyan voters.
Habari ndio hio

2 Likes

Niko poa, namatha import

OK, so it’s an opposition MP doing what we have accused of last week. No wonder hii story imekaliwa chini ya maji.

1 Like