Gypsy king, warned u about it

People who know boxing, get to umo n check Kenya open, good talent there, @Wanaruona @shoti_mzito please check them out

Ziko lini. Hii wiki nimeshikana mbaya. Hope unafanya zoezi lazima tupatane sparring.

@Colombo-Combolo ni invite tournament moja nkam bout na @Wankanyama kwa category ya Heavyweight. I need to destroy that matapaka once and for all.

Umo area gani, naweza pata kijana mmoja hapo nimpromote all tge wat to the USA

Ni promote am planning to turn a professional boxer.

Ulipigana mwisho lini, ata kama ni kwa choo?

Hehe, sikuhizi nakawia zoezi bana, umri Na chwara sazingine zinanipeleka, but pressup Mia hivi mi fit in

4 years ndio nilistep kwa ring but i have been doing sparring. So ring rust sio issue.

Imagine nimecheza mwisho 2007, hizi zingine Ni sparring tu, bag, padwork Na zoezi general, but Bado mi huwa sharp, jab yangu hailali, hiyo mi hukulia mafala street kabla wajue Wana deal Na nini

Sara Achieng MTU wangu pia Jana alikwachu Commonwealth title baada ya kuswaga dem wa Malawi, hongera[ATTACH=full]393047[/ATTACH]

Uko wapi kwa hii photo?

Hapana siko hapo, lately Niko Kisumu bro, hapo Ni priest tuu Na heavy ndo wako then huko nyuma Na kofia ya kirasta Ni big John Ataro one of my former sparring opponents

Hehe

Hehe Bora msitoe ulimi nje, teke pia MTU asirushe Kuna time vita ushika mpaka opponent anaskia kutoa miguu

Huyu conman anafanya nini kwa boxing. He brags he used to play boxing and he has never stepped in a ring.

Mimi i used to alternate in lightfly and fly weight. I was the first lot to play amateur boxing bila head gear. I won provincial novice, provincial intermediate and national intermediate. Nikacheza ligi fly na Harrison Mathuku wa piri akanirwada. Hio siku alikuwa sparring partner ya mabeli wa Olympic 2012.
Game ya mwisho ilikuwa pale Kayole social hall. Mimi na matayo keya i lost via unanimous decision on point. 13-9.

Nomare

Hii ni sport moja naonanga ningejoin in my youth days ningekuwa mnoma sana…ningekuwa legend hivi…kitu tu ingeniharibia ni hasira.

Hasira in boxing will convert you to be a punching bag. Whenever i was hit i used to smile and pat my head and tell myself keep you head up,guard up. And start to box.

My time light heavy and super middle, I joined nikiwa 89kg, within 3months nikicheza za 1st nilikua 79, Novice ya 2006, semi finals, hiyo time kulikua pia Na ufala juu ya officiating, baadaye intermediate nilianza hustle Ika ni Wahi, trials Nika ambiwa nione Shaka AFABA, Tena hustle n some reason sikuenda, ilibakia Niko gym Na kutafta UNGA juu nilikua najitegemea fully bila job, I remained relevant in sparring and friendlies and seconding youngsters who relied on me. Now I am more of a middle weight

If u put ur emotions in sparring, utafinywa, if your head is hit tap it twice n tell the opponent good, but this comes after a number of sparring

Lakini ile siasa iko kwa boxing ni kali kuliko ya ODM grassroot nomination. Nairobi kuna two parallel body. Nairobi Boxing ni wizi tupu na poor officiating. Where a round can take less 1 minute. 3 round match unacheza hata hutoi hata jasho. I played novice za Nairobi nikaibiwa hadharani. Nikaenda Nairobi metropolitan games. Metropolitan ndio kuna boxing. Huko ndio nilishinda novice, intermediate na nikaenda ligi. The lot which i used to play with them saa hii mmoja ako KDF Abednego chalo. Kings otieno ako Kenya police. Piri pia nimewachezea but i preferred masomo since i had already hacked in KCSE.