Gwanta Noma/ Guanta Noma - Twaleta Raha

Anyone Kindly anisaidie with the mp3 of this TBT kenyan song. Hakuna youtube or google
@Touchlyrics saidia

niko juba, acha nitaskusort nikirudi in a weeks time

Lyrics hizi hapa

[INDENT]Artist: Guantanoma
Song: Tunaleta Raha
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Chorus
Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Verse 1
Attention, usikii na guys wamefika,
Mpango umejipa, wana budi kukatika, ngoma inachapa lyrics ninawapa,
Ni nani mwingine kama si Mr.Kim,
Isikize kwa makini, iweke akilini,
lakini mpaka lini tutalia tu na eh!
So nyote nimewataja, msiwe na shaka,
siwezi kuwalapa, hata kama hamjataka,
cheki Ryms on the sheti, Kings still on the floor,
jaribu kufahamu hakuna cha haramu,
sisi wote tuko na binadamu, tunazidi tabasamu,
sasa wacha tupewe Ngoma,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Chorus
Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Verse 2
Microphone nimeshika, na recite kwa makini,
Ogopa DJs, home boyz watafurahi,
Vile sasa !@#, wacha sasa ni imbe wimbo, kisha tena niharibu,
Wata kula, mtapika, kati yao wako sawa na kula peke yao,
Wa K mc’s wanatuwinda, Alah ana tulinda, tuliza sikiliza,
tuna anza kuingiza, ryms zetu ziko fresh, wata anza kutu check!
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Chorus
Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Verse 3
Jichunge, zifunge hizo kikamilifu,
Wacha sikua, mimi ni notorious,
Mchezo ukichezwa, wanaanza kunungunika ,
Kwa ma keja waanza kukatika,
Madame bila kusita wanaanza kutingisha,
Kama wewe moto, mimi maji nitakuzima,
Usiwe wasiwasi, vile ninavyo zungumuza,
Nitazidi wakumbusha, wasichani ni sukari,
Ngoma bila beats ni kama mimi bila lips,
Nitazitumia sita wahurumia,
nita zidi pewa ngoma, kukoma ni kama samba bila boma!
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Chorus
Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Tunapewa Ngoma, aah, (ma maa maa)
madame wanawika, aah, (aa a a)
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT][/INDENT]
[INDENT]Tunapewa Ngoma, aah,
madame wanawika, aah,
kwetu sisi tunaleta raha,
[/INDENT]

Mp3 je bro?

Ntajaribu kukusakia… Ama maybe @Touchlyrics aokolee

Sasawa

Mp3. Please share. Hii ngoma ni fiti

Nasak Dhako by poxi presha

Thanks