GUYS GIVEN 24 HRS AMA KIFO IWAPATE

Iko watu wame chokoza nyuki
[ATTACH=full]81869[/ATTACH]

Aende ukambani akulishe watu nyasi

Ingrisch na maseep.

Mulisema zile gari za Nick Ruto ni gani za hii route @Deorro?

4 Likes

Mat hukuwa za cartels. Ukiona mtu ameishi biz ya matatu, kwanza hizi pimped, for years, jua ni kichwa ngumu in nature…na kukumada sio issue kubwa. Veteran matatu owners are usually bad news…there is a reason they run the business profitably where millions have failed. I highly suspect hiyo mat haikuwa insured comprehensively…so ni hasara 100%

8 Likes

Utamada mob ya watu 50? In any case, he is complicit for hiring unruly drivers and touts lakini pia what happened was wrong. He should just count his losses and move on.

4 Likes

Vitisho baridi. Aambiwe arudishie mtoto wa wenyewe uhai kwanza. And shouldn’t he be in jail for employing irrespinsible hooligans?

13 Likes

Hot air. Many boda boda operators engaging in the mayhem probably don’t even operate in that area but just happened to pass by.

3 Likes

Si angepost kwa group ya watu wa nduthi?

6 Likes

[ATTACH=full]81870[/ATTACH] [ATTACH=full]81871[/ATTACH]

1 Like

Huyu ni con anataka superstitious fools wamfuate.

7 Likes

Kubabake au Kumama…! Mwambie nimetukana yeye hivo aniroge…

1 Like

Nanii…tunakucheki

conman or just vitisho kama ni mwenyewe baridi hakuna kitu atafanya atatafuta hadi machokoraa walishangilia wamlipe?

1 Like

Sijui lakini leo nimeenda disapora mats ziko na adabu

2 Likes

True…hizo ni Vitisho Galore…i repeat there aint much he can do,he should count his losses and chart the way forward.The Mat having been involved in loss of an innocent life no JUJU or curse no matter how potent can affect the arsonists.

2 Likes

Hio imeandikiwa na sponsee age ya Mzee mjinga lakini alimalizia form one kama wakameat.

drops mic

8 Likes

Kuna mutu ametukanwo fimbaya saindi

Apparently iko watu wako ndani juu ya mayhem
[ATTACH=full]81874[/ATTACH]

5 Likes

Wafungwe kabisa.

1 Like

Mat ni high risk high reward business. Kama wewe sio mafia kwa hiyo route, hauna lako. I still dont see the logic of burning down the ma3 instead of beating up the reckless driver. Kila industry ina mafia wake…hata mimi ni mafia kwa industry yangu…ya mat ni mambo mbaya

4 Likes