Picha nimepata pale group ya Hessy.
What gun is this?
Sikujua these people have access to such. Ama ni bonoko tu
[ATTACH=full]111077[/ATTACH]
Looks like MP5 with retractable stock fold.
But to me it looks fake
inakaa bonoko,naona kama iko na place ya kuweka battery hapo kando
Batt… Screw holes… Bonoko de’
It shoots batteries
hii ni bonoko ya MP5 made by Heckler and Coch
hii mtumba ni origi sijawahi dharau kitu inakaa kutema copper
[ATTACH=full]111079[/ATTACH]
MP5 huwezi kuchika mwisho na mkono hivo ameshika comfortably
Looks Like an airsoft BB gun
Hii ni ya pale eastleigh inaonekana .Ni battery charger:D:D:D:D:D:D
Hio ina nyamba risasi mbaya.
Mp5
Toy watergun.
That’s an air gun
hii ni zile gun za maji, inakaa ni ya watu wa zima moto