Has agreed to deputise Guka Ojinga for the third time.
Kalooser muoga sana …he has only 2%.
unataka wakamba wanyimwe mwolyo?
kuna watu wanatakanga kazi ya serikali bila responsibilities mingi
taxpayers probably footed hospital bill ya bibi yake
jamaa lazima alienda kwa office of the envoy of peacekeeper of south Sudan na pickup imejaa cartons za medical reimbursement claim forms
munaona kama jamaa ni maembe ya mwingi, lakini ako set for life
wakati wa retire, taxpayers mutakuwa mukimlipia bill ya 300k ya stima
mpaka anachemsha maji ya kuflash
Kalooser anafuata golden handshake ya retirement. The only seat tutapea yeye ni Speaker na pension.
Hii thread watu wamekasirika sana. Wacha ningoje @spear alete hapa paragraphs saba
You mean Mount kenya mafia hampei yeye deputy president? Ala ala ala:D
Kalonzo hangeenda mahali. But Raila needs to change his ways, so many politicians have trust issues with him
True, Uhuru pia ataona vumbi .
Hii ni siasa wadau.
One of these will abandon ship or two of them before elections
Ngilu
Mutua or
Kibwana
With Kalonzo on board these guys have been relegated and they have had a taste of kingship. After being replaced they’ll run or one or two will
:D:D:D:D:D…you expected what? Hii khassia Haina musimamo, that is why guys loathe him
Kua na msimamo ni kitu cha maana
[ATTACH=full]425064[/ATTACH]
“Haribu jina, jenga uchumi”.
Kalonzo ameosha Weta na MaDVD
sikuona Martha Karua KICC ? ama OKA iko aje ?
Politics is also business. Why get the love of the people and leave your account empty? Follow the money, even if it means betraying your self to your selefu.