We grew up enzi ya Kerosene, (mafuta ya Taa)…and there was only one place ilikuwa inauzwa kwa mama alikuwa anaitwa Wamerigo…
Sasa vijana tulikuwa tumezoea gukanya…which mean ukitumwa mafuta ya 20bob unabuy ya 18bob ama 17bob…change unaweka kwa mfuko kubuy bano…
All was going well until njoro started gukanya 5bob …akavunja rule ya 2 na 3 bob…njoro alikuwa kichwa ngumu…na after gukanya used to buy Gimeduthaa (bano ile nono)…
Sasa sparta juu pia nilikuwa natamani kukuwa owner wa Gimeduthaa nilitumwa mafuta ya 10bob…sparta tukaenda na njoro leo nika amua gukanya ni 5bob kama mzito… Then blunder nilifanya nilianza kubuy Gimeduthaa 5bob sasa nilikuwa na kibuyu naelekea kubuy mafuta…
Kufika kwa wamerigo nilitandikwa na butwaaa hakuwa na mafuta…l was confused juu sijawai skia hana mafuta na ni yeye tu alikuwa supplier …
Ikabidii niende all the way kabee kutafuta mafuta…unfotunately sikupataa…sasa long journey home bila mafuta…
Kukaribia home njoro akajitoa nikabaki solo…mathee amenichill mbona nimekawiya ivo…nikamshow sikupataa mafuta ilibidii niendee kabee…
Halafu nikamshow nimeanguka 10bob ika anguka…
Mathee naye ni nani…aliniwekelea war,na aki ingia kwa mfuko alipatana na bano na 5 bob…apo ndio nikapatiana hadithi…
After heka nikatandikwa zaidi…na Gimeduthaa yangu ikachukuliwa
That was the last day niki kanya tena
Good memories. Mimi nilikuwa nakula 5 nikapanda ngazi mpaka 20. Nikileta mafuta naona madhee anaangalia lakini hasemi kitu. Siku moja natoka shule naona siz na kibuyu ya mafuta ameshabuy, nikajua hiyo nyumba ni warzone. I pleaded with her amwage chini mpaka level ya 80 akakataa. Nilipigwa mpaka majirani wakaingilia.
3 Likes
Nottybwoy:
Good memories. Mimi nilikuwa nakula 5 nikapanda ngazi mpaka 20. Nikileta mafuta naona madhee anaangalia lakini hasemi kitu. Siku moja natoka shule naona siz na kibuyu ya mafuta ameshabuy, nikajua hiyo nyumba ni warzone. I pleaded with her amwage chini mpaka level ya 80 akakataa. Nilipigwa mpaka majirani wakaingilia.
I pleaded with her amwage chini mpaka level ya 80 akakataa. waaah iza kaka kwa kichapo kumbe l was not alone lakini 20 bob ni mingi nawe gukanya haikuwa inapita 5bob
2 Likes
:D:D:D:D Hiyo mafuta ilikuwa ni ya kuwashia taa tu, kwa hivyo haiishi haraka. Sasa nikipata chance nakula tu 20.
Jefe
September 21, 2017, 12:37pm
24
Hahaha maze kuna mabeast walikuwa wanakuja game na ball bearings…na wanadai cracking no paying
2 Likes
tulikuwa tunacheza bano kidole inapataa cracks …l still cant understand how we use to play it morning hadi usiku ata huwezi enda kula lunch home
2 Likes
Jefe
September 21, 2017, 12:51pm
26
Hehe manze…halafu unarudi home jioni mathe anakuwahi maRKO