Guka Amevuka..................

btw @guka, uhuru alisema aje ile story ya ku deal na korapshen? suggestions zilifika?

1 Like

Zitafika.^^^

Sindiyo! Ukimusponsor utatusaidia sana na entertainment ya 2017, even better than watching Dida clobber her in 2013.

1 Like

Hapa ndio con game iko mbona hatumii email ya South African Reserve Bank?

1 Like

Guka, nipe tender ya ku-supply gunia za kebebea hizo pesa…

3 Likes

How does this con game work? I would love to play along to see where they ask for money.

Mzee ulikua na biachara zipi nao before?

wewe ni ndugu ya @ogooti ?

1 Like

Meffii nilikuambia nini?

1 Like

wacha niukuitie @wong adeal na wewe

Ango si unitupie ka dollare ulisanya pale ekwete ya oyole angalau pia nikunywe tei ya maana?

1 Like

chief leta mpesa namba

1 Like

I supplied the IMF with innovative portable medical facilities for further distribution to impoverished sub-Saharan countries to alleviate maternal mortality and promote neo-natal survivability with the overall objective of achieving the relevant Millennium Goal.

Asante sana.

1 Like

Wirri you mare me?

Mzee haki hii battery naweza beba. Nipe kazi mzee…

fake as bonoko…

4 Likes

Meza ARVs ama utakufa mbele ya guka.

Huoni Jamhuri Day, na yeye haoni Xmas

1 Like

I cannot marre a brand new sekond hand…ni kama kununua tyre kwa mkamba. Itafika mahali ichape, PUU!

My pacemaker uses a uranium-based fission battery. As small as matchstick head. Although it makes you glow in the dark

Wacha machungu, ngabu! Hii kitu ni genuine kapsaa!