Greatest gengetone of all time

Hii tune imenijengea afte kishenzi … cunt get enough of it

https://www.youtube.com/watch?v=Bo9InfX5RG8

Trash track

Hata wewe Mzee unasikia hizi takataka songs? Hizi wachia ihii kama Digi please

Finish him!

This is a bad song. Yaani Nimetafuta anything to give it some credit but sijapata kitu. I suspect artiste is your cousin

FJ-7 is an artistic genius. You Plebs can’t appreciate such class and substance.

https://www.youtube.com/watch?v=Q2oqP51jCRs

Mujamaa hii ngoma ni kali. Tebu nishow ubaya iko wapi?

Cc @Commissioner . Hio ngoma iko sawa. Alaf unacheki madans moves ni odi kali sana. Patia Kamaa credit were due

Mdau, kwanini unataka right hand man, supporter wa timu kubwa pale epl aangamizwe?

Immature lyrics

The song has a very deep message. Material things will come and go but the bonds we form are permanent and much more fulfilling. It’s just so…moving. How many young artists are preaching that message today?

Achana na hawa majamaaica wa kuskiza beats alone, huyo kijana ako tu sawa. @hot water engineer kuom kiasi utoe maoni

Kwanza hio chorus noma sana,

"Magari yatapita, ila mi bado npo, nitakupa utakacho, tunza heshima.