Grand Theft Auto

Any good car security company out there you can recommend?
[ATTACH=full]380877[/ATTACH][ATTACH=full]380878[/ATTACH][ATTACH=full]380879[/ATTACH]

It’s better than nothing

hapa ni power tools ndio zilitembea banae

nashangaaa mbona hawakuenda na taya

Hapo bado kazi ilikua ijaisha,windshields ziko intact

Mayuu kuna regulations za pawn shop, which makes it hard for sales of stolen properties.
Any establishment that buys used goods has to list down the specifics of the goods i.e model, serial number and any other unique identifier of the product, plus the details of the seller, which includes a photo copy of the ID seller of the seller.
All these information is then passed to the local police department, of which it’s made available to the public.
I guess , we need such laws in .ke.

those thieves were not Kaos… Mkamba haiwezi acha tyres uliza @kingolonde

basi ni kama walikuwa spooked wakahepa

hapa kenya ngumu sana. shylock ndio wanafanyia wakubwa money laundering

True.

bruuuh come one we are referring to kenya man

Hahaha waliacha radiator,windscreen,rear windshield,tyres zote,bumper ya nyumana spoiler.Wajinga sana hawa.

Ni Kama walikutiliwa wakiwa kwa harakati ya kuchinja Toyoda

Miguu, hazard lights, wind shields, steering wheel, hizo zote waliacha. Hii ni kama mwenye aliwatuma alikuwa na specific order ya milango na taa pekee.

Mayuu … kuna chop shop aisee. Tena za nguvu sana… a vehicle would get completely chopped in less than an hr. Kazi ya Latino’s.

The law is there. Implimenteshen ndio ngoma.

@Necrow vipi msito