Graduation is overrated. Job search will humble you.

Alafu hamkuniambia vile kutamarc ni expensive.

Unapita nje ya KFC unatamani kuingia but uko na 30 bob tuu ya kupanda Githurai Sacco.

kwani ulisomea Gender studies:D

Ukweli mtupu

Zii. Lakini personally najua engineers wametamarc tangu 2016. You can’t stop reggea.

why should you tarmac and waste time… Si Hata afadhali utafute masters… Allover Europe masters is almost free…

He he he, bado ujachapwa viraka kadhaa name relatives

ingia biz na sio base

hii ndio the worst kind of information unaeza pea msee anatarmac

na kumbuka in form 4
nikifanya KCSE Maboy wa home wale wamemaliza shule na my uncles walikuwa wananishow utakuja uku nje KIDARA ucomwe na jua

zero motivation from young tommy
halafu to make it worse kule MUCHATHA masomo wanajuwa huishia form 4

sad society we are living

Alisomea Lesbian Dance Theory. Dinyavanga tu ndo anaeza msaidia

unafanya masters ndio ukue master in what yet hata hujapractice a single thing umegraduate nayo Bachelors?? nikiinterview employees for my Muhindi na nipate msee ako na masters yet hajaifanya kibarua after bachelors me humwambia ako overqualified!!!

PATIA YEYE KAZI GATHEE

Very valid point. Back in May kuna dame anawork uko Upper Hill, she told us whenever they get a masters job applicant hiyo CV huwekwa kando ama kwa dustbin. Kwanza hizo masters za Europe zenye watu husoma na bundles, they don’t help much.

Slaves everywhere, I can’t relate. Kwani you don’t have any other skills you can leverage and be your own boss?

Githurai leo naskia ni 200 bob!

Entrepreneurship needs to be taught from an early age. Ukitoka campus you already got a gig going for you…

You think mtu amesomea Europe masters atarudi kwako kukuuliza job… Mostly they don’t come back

najua wengi sana wamerudi na kutafuta job huku hata kwa watu hawajagraduate. thing is kuwa na masters sio guarantee ya kupata kazi. na kutokuwa na masters sio kusema hutawai pata kazi mzuri

:D:D:D:D:D. hii ni wazimu