Govt and manufacturers now say goods at China Square are genuine - biashara ifunguliwe

“Govt agency releases Sh50 million goods seized at China Square | Nation”
https://nation.africa/kenya/news/govt-agency-releases-sh50-million-fake-goods-seized-at-china-square-4143698

Safi Sana thuraku kula meffi

Quote:
The Anti-Counterfeit Authority (ACA) has released goods worth Sh50 million that were seized at China Square over claims that they were fake Finder Tools.

According to the agency’s executive director, Dr Robi Mbugua Njoroge, the goods were released after they were confirmed to be original and had been “sourced from the same manufacturer and international brand owner of Finder Merchandise”.

Naona orders zimetolewa pale Chinese embassy. Local tycoons wataona kivumbi.

Mijinga mumama zaidiiiii umekaaa hivi fuaaaaaa ukihara ukinyamba ukidunga ukinusa uvundo ukakuambia wewe na muhahe yooooooooote ya watu wenyu wewe ndiwe wa kwanza na hii stale regurgitated news? Brare taktaka ghaseer ibilisi

I am wondering why waria aren’t making noises, but only thuraku are. This thing got a political twist. But all the same, watu waWache wivu na wajaribu njia ingine ya kusource izo vitu cheaply na kuziuza at competitive prices.

toa mpango Kizee.

CS Kuria was over ambitious on this one .

Xi will decimate kuria like atom

Bonobo that cant manufacture toothpicks anaweza jua fake or genuine complex machinery?Bure kabisa.ngombe ici

Watu wapipinywe tumakende, wasichesee Chinese na wakona deni zao
Serikali ya watu walafi

Waindi pia wametulia na wakona factories pale industrial area na Ruaraka
Hii govment ya praying mantis ingeongea na mzito xi msuri ifungue factories na industries county zote tuanze kuexport all over east Africa.Mafala sana

After seeing the way China Square inahangaishwa na serikali do you think any foreign investor is looking at Kenya as a place to invest?

Iyo vita ilikuwa ya Cs kuria na wenzake juu biachara yao imevamiwa
Hukusikia ni Dp Gachagua mwenyewe aliorganize zile demos

Kenya ikona deni ya Chinese, Xi anapinyilia kidogo tu Ruto analainisha
Ruto ni mlafi, akipewa zake za macho investors wataingia

hio Anti Counterfeit Authority nilion 50% of the officers ni wa Somali, the ones sent to inspect China square hata kuongelesha journalists ilikuwa in broken english karibu msee aanze kuongea ki Alshabab :D:D:D kenya is fuckked @mlipuayote

Kuria ashapewa cut yake so things can go back to normal!