Govi

Govi of Machachari equates a wedding to the end of his simping days, nigga plizzz now you gonna simp proper!!

Halafu, kwani who came up with that name govi? Hakuelezwa it foreskin in Kiswahili?? o_Oo_O:rolleyes::rolleyes:[ATTACH=full]380404[/ATTACH]

Jamaa anadhani kumea ndevu ni ticket ya kuoa, anyways acha tuache ‘kuruka mbele ya ngoma’

Govi in Swahili means foreskin

[ATTACH=full]380409[/ATTACH]

It’s a music video hajaoa…

Wadau hawa ni nani pulizzz.

Even if the kid marries, listen to his interviews kajamaa husound mature sana

good gracias, they are merely kids lmao…

Hata wanakaa tu watoto wa mama,

sufferah flani beste yake rich kid alikuwa akinukishwa taya rear wheel drive na wazungu

siwezi mind kumukulia bibi

mbona ananikalia tu mtoi

He doesn’t know the meaning of the word simping, he will be cuckolded like @poyoloko, mark this comment

Guy is barely 18yrs old .Hii si ni acting tu

Haki the levels of chest pains in this post. Wanaume shida iko wapi?