cruising down along Nyali bridge in a Ferrari
[ATTACH=full]47369[/ATTACH]
Damnnnnnn wapi hio unga pia mimi niuze
Mali ya umma.
its only 30M at most
kwanza ju haina milango na viti vya nyuma its cheaper
its most definately even more cheaper ju haina roof …hata haina ground clearance poa
hii gari ni only 21M
hata kifuniko hamna…new edishen
Gari haina hata seat covers
Hii gari paint inakaa cutex …hii gari imepakwa cutex
Hii gari ni kitu 17.5M tu
Mkubwa Niko na 12.5M unaonaje unijazie nishike hii machine. Nitakupea squad mtaani uchape round
hiyo pesa ni mingi sana kwa hii gari
Nilikuwa nimesema ni 17.5M but nimekumbuka ni used
so ni kitu 15M hivi
ukiconsider ni ya mombasa …maji ya chumvi …rust kibao
ka mtu anaelewa hizi vitu nimeipea nothing above 7M
hata kuweka eya freshna hapo ni kazi bwege tu…wacha tuwape 2M
mwanzo ila zaidi nimeangalia miguu imeisha tread inafanana na ulimi wa mtoto
sasa hii gari nikiipea sana sitashukisha chini ya 65oK …hii iko bei sawa na Noah or Voxy KBH to KBL hapo
nathani wewe mkarimu sana…mimi nawapa Bajaji steshen wagon na bei ya jioni pambio alfu mia hamsin
haya jiwekee hamsini, wape mia
maanake hili gari lake ni plastiki sana sana, …na hata spares lazma zitoke italia …yaani hata hapa malindi hakuna
sawa naenda zangu kwa Salvatore sasa ivi ili nijue anauzaje kabyuleta yake
gari ni mali kidogo
Hehehee @Bingwa Scrotum yaani haifiki hata kifikifi mpya
:D:D:D:D:D Bingwa.
:D:D:D:D
Wallahi mumenimaliza…ata GV001 akisoma atacheka tu!!
Undressing a character in 4 simple threads,life is a biatch:(