Government deregisters Pastor Ezekiel Church

Luos hawatapumua hii Kenya.

https://twitter.com/Kenyans/status/1692450032904032575?s=19

Hii ni kumaliza huyu mzee kabisa

2 Likes

amefanya makosa gani? kenya hakuna body yyote ya kuregulate makanisa so io ni watu ya serikali wanatumia kifua kumkandamiza Ezekiel.

Kuna kikundi ya wale bishops wa kitambo wenye hawataki pastors chipukizi wachukue market yao.

Ukianza kuwa na mikutano kubwa kubwa wanafeel threatened.

3 Likes

He will form another church

1 Like

Hii ni hujuma kwa mighty prophet. We need justice ama tufanye maandamano.

1 Like

Halafu LGBTQchieth ni Sawa.

Kama kwa kweli they were serving the True living GOD( the creator of the universe and everything in it) tarajia Hawaii massacre in double dose kujidhihirisha. Lakini kama ni wale wale, ACHA Kenya isonge mbele.

1 Like

The mighty prophet never saw it coming…anaonanga tu nyota za wenyewe.

1 Like

How sure are you he never saw it coming?

2 Likes

Ezekiel aliwaonyesha blue print ya university anaplan kujenga January wakaona anakuja sana wamzime. How did shakahola turn to Ezekiel

Hehe, he cud have done something about it. Ama ni kesi ya mganga hajigangi

Msito Ezekiel ni lazima angenyolewa. Jamaa alizua wasiwasi alipojaza uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi pomoni.