Gotv

Ma fundi wa mitambo wale hawajaenda christmas.naulizaaje izi stations zina sauti pekee unaeza zifanya aje ndio ueze ku view??

hio ni radio stations,

7 Likes

Tell him, Hehehe

1 Like

Kuna izi stations za bamba tv.inaeza??

No

Si uende tu ukatembee Uhuru Park buda. Huko utapata mpaka swings.

4 Likes

@mathias uko huko tupatane?

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

hio ni swali na nusu

Huwezi watch radio station.

i think he can!:p:p:D:D

2 Likes

Labda za cartoon, zenye Christ amewekewa na Mary.

Blaze some more weed and you just might

chezeni chini
nimeshika vile anauliza channels kama Cars , Recipe ,comedy ,knowledge hizo ni za BaMba si za Go tv
niliongea na msee wa Bamba akasema sijui wata zi encrypt soon

@the virus spoke about the type of tv you are using will determine if you get a picture.

Akuna… Ata mimi yangu iko ivo…

is it true that Bamba decorder has time shift (pause ,rewinding live tv ) ?

Boss, thanks for making my day, nimecheka atleast.

cars TV hufanya?

hehe brathe acha kuepuka 850 lipa tu roho safi…sisi wa wa kagotv yani wale huwatch marepeat za uefa wanashida sana wakianziwa na wewe