Gory footage taken after the muhoroni accident

Wow. Instead of trying to help, he’s more interested in making a video. Even the crowd are just spectators.

2 Likes

Hapo ndio jina ngori ilitokaa. Hiyo ni ngori

Waaah!!

Why Keep posting accident here peleka Kwa Ile site yako Fala wewe!

Hapa si KBC radio matangazo ya vifo!

G-string thread plus vaseline plus Junguus

1 Like

elder tulia, those images are disturbing but this is ktalk, the site is alive because of free speech…hapana leta umefii hapa

3 Likes

Cold

Sole survivor ni scratches tu.

That guy who was in the front…eh! What are the odds?

1 Like

Following comments

kifo nilazima …kuzaliwa bahati
always know that when you are born ,youre condemded to die

That guy taking the video is just an absolute jackass.

3 Likes

Ni kasee

Bana! The irony of telling that co driver guy mwenye ameponea ati ‘ aachane na simu’. Ghasia sana huyu mtu

Speed kills lakini madereva hawaelewi

Every driver should have this video on their phones. Ile ujinga wakenya hukua nayo kwa barabara wacha tuu

1 Like

Adrenaline kicking in…hata sijamaliza video. I hope the survivor ako poa.
Pole kwao

Na kupumuliwa kwa maskio na @sokwemtu ni lazima?

The guy in the front of the matatu will have to give up milayas, pombe, anasa na starehe, his stars were well alligned walai. He is vert lucky, and maybe he had belted up as well

1 Like

Kwa highways i rarely do more than 100km/hr

My preferred speed huwa 85km/hr nikiskiza muziki zangu.

9 hours to Mombasa kama matatu.

3 Likes