Good news

James Kuria who had been abducted by Somali Pirates and held captive for 15 months finally returns home after rescue…
[ATTACH=full]31843[/ATTACH] [ATTACH=full]31843[/ATTACH]

2 Likes

@Purr_27 njoo uambie huyu pia amepost twice

6 Likes

lucky nigga

He should come here we ask him questions akishapumzika.

He needs to get laid ASAP.

3 Likes

I’m sure this brother got his cut from the Shabaab. I know this type of hustlers.

2 Likes

na yeye ni elder statesman…

hiyo embrace ya Bibi … leo tarumbeta italia

even the red army that attacks once a month will be no match for the will and resolve of a freed hostage

5 Likes

ona vile wote wanashine macho

5 Likes

Hii story ya alshaabab ni noma sana…nilitravel lamu na bus for my first time, I didn’t know the security situation between tana river county na lamu…hapo ndio unapewa escort ya AP after kusearchiwa na KDF…kumbe boni forest hapo ndio inaanzia kuwa thick…so bus lazima zingojeane na escort moja inakuwa front na moja nyuma…safari ilianza na hapo ndio roho inaanza kududa bus UD inarushwa na speed ya ile landcruser na hakuna barabara anything can happen in between.

The place is a very long stretch before ufike mpeketoni. Hii ndio the real place where the war strikes between KDF na ashaabab very dangerous place. They normally strike 5 morning na 5 jioni…

I happened to be in that area hio masaa ya jioni…nilipanda bus inaitwa takweel kumbe ilikuwa na issues kwa rough road haina springs na shocks so inaenda slow…after mpeketoni town the escort inawapeleka mpaka hindi of which bus zote zilitoka teke sisi tukaachwa nyuma peke yetu. …nilikuwa nimekaa hapo nyuma ya dere so nilikuwa na cheki side mirror kiplan…nilikuwa naona escort ya AP inacome tu but ilifika mahali sikuiona tena so its like we were left on our own…Kumbe huko nyuma kiliumama alshaabab walianza kutupa risasi kutoka kwa bush…so hawa AP nikama walijua wakahepa.

Sisi tulipigiwa simu kutoka mpeketoni town ati kimeumana so tuongeze speed… hapo na hapo nikawapigia watu wetu…kucheki nyuma zile gari tulikuwa tunapitana nazo zilikuwa zinacome kama gari za miraa mataa zikiwa on…kuna bus ya watoi wa chuo ilicome mpaka nikastuka watoto wameshikilia roho zao…yetu juu ilikuwa maregea viti zilikuwa zinangoka juu ya speed barabara ni mbovu…hii ni kifo…so vita ya KDF na hawa alshaabab ni real niliamini.

6 Likes

buda hii si comment, hekaya.lize

1 Like

Ni vienye nimecheki huyo jamaa ikabidi nilete hii hekaya hapa…juu bado sijarudi na imagine what we went through cant believe napita hiyo road tena on my way back to Nairobi…

uko mokowe or island?

waah bado uko huko can only imagine na hao madere hupita daily nao eish

Hakuna airstrip uko ama an alternative road?

Watch citizen TV at 9.00pm

Huyu mjamaa anafaa aekwe kwa radar ya gava , anaeza kuwa ali convert na ni Alshabab

1 Like

Jamaa aonyeshwe kituo chap chap.

Ndio, KITUO.

[SIZE=3]Cha kuchukua kura.[/SIZE] [SIZE=2]Ya Uhuru[/SIZE]

[ATTACH=full]31848[/ATTACH] This was his story

Ooooooooooooooooooooooooooooooooooook! What kind of fool goes to hustle in Somalia? As in for real?