Kuna day fulani hapo tukiwa primary tulichinja kuku na tukapika chapo jioni. Sa next day lazima ningebeba lunch nikienda chuo alafu lunchbox ilikua kasuku ya kimbo simnajua tu hizo siku. kupata chapo ama nyama ya kuku ilikua balaa.
Nakumbuka hadi chopi wa daro opiyo alinifanyiaga assigment ndo nimsort ikifika lunch naye prefect maina akanitoa kwa list ya noise makers. Madem wote daro walikua wangu siku hio mpaka ann akadai nikue chali yake.
Sa vile ilifika lunch kila mtu nilimpromise alikuja… kufunua kasuku nikafaint. kumbe nilibeba Mafuta ya kupika. saitan. Nilikosea nani ni khaard.