Good estates for a peasant bachelor

Wadau natafuta nyumba in Nairobi na surrounded areas. I have narrowed it down to Tassia, Ruaka, Roysambu and Kikuyu. Nipatieni disadvantages za hizi areas ama Kama unajua area zingine rent hapiti 25k mniambie

Ulikosa jina ama

Shida yako hata ukitafutiwa keja utafukuza tenants na your super power of mnyambo, you refractive skunk.

Tembea na uongee na watu wanakaa huko.

Kikuyu is not bad though ni mbali na Town. Pia if you’re not a Kiuk, usiende huko ju ya next year. Ruaka is second best though Mungiki is likely to affect you. Afadhali Roysambu kuliko Tassia. Ama uende Nyayo embakasi

[ATTACH=full]381514[/ATTACH][ATTACH=full]381515[/ATTACH][ATTACH=full]381516[/ATTACH][ATTACH=full]381517[/ATTACH][ATTACH=full]381514[/ATTACH][ATTACH=full]381515[/ATTACH][ATTACH=full]381516[/ATTACH][ATTACH=full]381517[/ATTACH]
Rwathia Dollar Billionaire naishi leafy suburb siwezirelate!

Nyayo Estate ni headquarters ya Malaya…karibu kila dame tagged ni wa Nyayo

South B and imara you can get a 1 and 2 bdrm respectively

This is a tiny house

Malaya wako kila pahali, and I doubt umalaya ya huko inashinda ya Kasarani, Zima and Lumumba Drive.

Atasaidika na maku pia

Kamiti Corner ni kupoa. New apartments, affordable rent and quiet upcoming neighborhood. I live close to the apartments.

Iko wapi hiyo area

Tassia Kuna Nini mbaya?

Umeweka mpaka picha za familia

iko at the end of Kamiti Road. Closer to kamiti prison, kahawa west and tatu city. From Roysambu just follow the Kamiti Road to the very end. There you will find a junction and developments, thats where you will see the apartments.

Taj Mall area especially hii side ya Fedha estate (sio Pipeline) houses are good. 1br from 15k, 2br from 18k…
Security uko poa…
Modest population
EASA college iko na ma yengs finest…
25mins to tao.

Roysambu ni mitaro za sewage tupu na watu wa kuketi base kwa mawe kuanzia asubuhi hadi jioni

Wacha ujinga,Kikuyu is a very peaceful cosmopolitan area hata wakati ya election

That place needs alot of patience because the kamiti road traffic snarl-up is always a night mare.