Good Bad Ending Lanye Story

Good Sad Ending

For those who don’t know jana nilienda Eldi kushughulikia maburungo flani muhimu sana. Nilifika huko kitu 7 ya usiku na kama kawa nikaenda kwa boys flani tulikuanga na yeye high school moja. Huyu sasa ndo alikuwa na hizo burungo zenye zilikuwa zinahitajika huku Nairobi. Kwanza tulianza kama tumekula ile noma kujibobda ni kama hatujai jibonda tena.

Kitu 10 ivi tukaondokea tukaenda pale Club Signature kueka signature pia sisi yaani kudunda ile mbaya. Alibuy William Lawson lakini nikaichorea juu weh iyo tei ishainifanya nilale ndani ya mtaro na sidai tena. Juu ni fisi alienda akakam na madame form ikatubamba tu ile mbaya. Ikafika kitu 3 apo mi nikajitoa juu hao madame walianza kuongea ufala.

Tukaenda bar flani iko karibu na Paradise hotel kulewa ile mbaya juu huko tei ni cheap. Kumbe huko ndo malanye wako kwa wingi. Huyo jamaa tuko na yeye kumbe anajua huko ni kwa malanye lakini hakunishow. Alinipeleka huko intentionally. In the meantime aliita dame flani hapo akaanza kumpiga kiswahili si unajua huyu jamaa ni fisi tu.

Huyo dame btw alikuwa lanye. After wameongea hio nyang’au ilimnunulia pombe. 15 mins later huyo akawhisper kwa sikio yangu “brathe ukipewa hii kitu si utakula?” Mi nilidinda juu enyewe story ya malanye nilichorea meen. Akadai “hata nikikulipia huezi kula?” Hapo nayo singekataa nilikubali kabisa.

Aliniwai rwabe nilipe nikishamalizana na yeye. Tulienda na huyo dame kwa room flani hapo tu karibu na Paradise halafu tukaingia. Yaani hata trouser sikutoa huyo dame manze alichew ile noma. Black out as fuck. Since I think out of the I decided not to fuck this lanye coz in the first place mimi story za lanye nilichorea kabisa…

So I did something very awkward and peculiar which every Kenyan could do; empty her pockets. She had 8,000/- and a phone whose worth in Jumia goes for 4500/-. I took the two and left…

What transpired next is a hekaya for another day…

Wapi ule jamaa aliibia poko 800/- kutoka kilemba? @mabenda4 ama ule msee wa Mombasani?

Niaje mwizi

unajua izo ni mia mbili ngapi uyo lanye alikuwa amepewa? kuwa na heart uende umurudishie torture yake coz so jasho!!

:D:D:DBeshte yako atakupeana tu…si umesema wanajuana na maraya wote wa hio place?

Hio ulicheza rough brathe. But pia maraya akikupata offside anang’ara na mali yako.

Ulibeba mshahara ya watu 40. Kuwa na utu saa zingine mjamaa.

my friend why the double standards??
lanye akikuibia itakuwa we ndo fala na ukimuibia iyo inakuwa torture??

usiwe mjinga msee…malaya akusanye one thing ni haezi kurudishia dooh kabisa…

Mi nilifanya kenye we mwenyewe ungefanya…na vilr uchumi ni mbaya brathe

simu ya Malaya na doe ?, kweli you have sunk to a brand new low

Ninyi ndo hufanya genuine ones hawataki story zetu …kuchorea wakati wa pension.
[ATTACH=full]104053[/ATTACH]

Half the village agrees that the story halfway is reversed,either ni malaya anatype the last part, ama hii hekaya nusu umeweka kwa mirror ikawa inverted

Wait one godamn minute!!! hii hekaya sio fresh. So ,
mkaingia club 10p.m [SIZE=1]check[/SIZE]
[SIZE=4]3a.m mkahama signature [/SIZE][SIZE=1]check[/SIZE]
[SIZE=4]mko paradise club ingine [/SIZE][SIZE=1]check[/SIZE]
[SIZE=4]mkameet lanye( who got wasted after 15 minutes o_O)[/SIZE][SIZE=1]check[/SIZE]
[SIZE=4]Didn’t bang but burgled…hmmmm [/SIZE][SIZE=1]check[/SIZE]
[SIZE=4]
seems legit,…but then,hii hekaya unaiandikia ukiwa upande gani? ukiwa kwa gari ukihepa ama nairobi ushafika? ju kama ni eldi hii unaiandikia ukiwa korokoroni.
Considering eldi-nai drive ni 2h 40min([/SIZE][SIZE=1]driving at 75mph constant,which i highly doubt considering you been drinking[/SIZE][SIZE=4]) its now 12:19 your lack of sleep is making you write stuff that don’t make a godamn sense that happened 7 or less hours ago ebu rudi alafu usimulie watu vizuri[/SIZE]

:D:D:D:D:D

bro am still in Eldi…infact niko freshi kabisa…

so ungeanzisha na …‘niko eldi saa hii…’ umenitupisha nashindwa kitenzo chako kilikua ipi?

THIIIEEEFFFFF

Labda SGR ndio inaeza make hiyo time.

Yenyewe si poa but hawes kuja na hizo pesa zote kwa job, pengine alikua ameinulia mzae mwingine.

Enda peana anal

:D:D:D:D:D