Mujamaa wa nduthi amebaki amehang ikabidi @uwesmake asimamishe dj kwanza … wueh!
[ATTACH=full]371611[/ATTACH]
Mujamaa wa nduthi amebaki amehang ikabidi @uwesmake asimamishe dj kwanza … wueh!
[ATTACH=full]371611[/ATTACH]
WTF! Iyo accident imefika threshold ya Bestgore
Seems brain size ya watu wa boda boda ni universal world over
the trailer guy was watching the live performance and that is most likely an illegal U-turn. jamaa ya nduthi naye haangalii njia.
Huyo ninja amebaki amehang kwa mlango ya mbathi ndo alikuwa passenger ama dere wa nduthi? Nmecheki hio clip mara kathaa adi nko confused … ama alikuwa ndo donda?
Ile curse nduthi huwa imebeba ndio sijawahi elewa. …
Huyo jamaa anadance pia ako_wtf!
Dere
:D:D:D:D:D imebidi ni rewatch mara kadhaa kuelewa mbona jamaa amehang kwa mlango nasijui ni kwa nini nacheka
Darwin…
Boarding a vehicle without permission.
Hio dance ulikuwa unakula kabla ya interuption, noma sana
:D:D:D
[SIZE=7]helmet ni muhimu[/SIZE]
Mwingine pia ndo huyu apa, waluya shida huwa ni nini?
[ATTACH=full]371656[/ATTACH]
Darwin must have wanked to sleep.on the two occasions.
Wueeeh noma sana, leta zengine