Fishing ya wallet na telephones?
That aside…fishing wapi sides za Nairobi kaka?
Kuna places nyingi Paradise lost, Ngong forest ama waterfront juja.
Hehe, unaona nka mtashika fish na hii mvua inanyesha ovyo ovyo?
Do you know when it rains, fish tend to stay away from the water surface (to avoid getting wet)… huwa zinajaribu ku stay warm.
Unaweza jaribu Athi river ama Kandisi Rongai although huko unaweza geuzwa mchuzi Na mamba usipokuwa radar
The weather sio conducive inadai ka solar, the last time nilienda fishing nilikuwa niko class six, time ya bomblast, tuliishia hadi karura forest na huko ndani kama tumedunga tu ma uniform.
Jua ikitokea unafika hapo Na 6 pack unatulia bila stress
What breed of fish are there? Most river in Nairobi have Gambusia Affinis which are not edible.
Hizo fish hazikuwa zina grow, tulikuwa tunazishika karura forest, nilikuwa na ile container ya toast kubwa colorless, nilikuwa nimeweka mchanga rao, kila siku nilikuwa nazi feed ugali, na nabadilisha maji, zilikua zinazaana but zikiwa “kubwa” hazikuwa zina grow past ka size fulani. Hii type na ndio uandai are not edible…though hatukuwai jaribu kuzi munch, zilikuwa tu ile ya ku ji nice kama ma boys tu…
Zilikuwa zinakaa poa sana kulikuwa na zingine colorful sana…
KAYOLE MAPINCHI MEETING
MANAGER: Performance ya January Iko ngori. Target ilikua tuibe 1M na tuko 50k pekee
JOHNTE: Boss, Na propose tubuy vitu za fishing tu target mafala wa west. Fishing inafanya hawa mafala wataconcentrate na maji wanasahau ma nangos. Hapa na pita na iphones kadhaa . Target ya mwezi tunapata na weekend Moja.
MANAGER: Hio idea Iko fiti. Pitia Kwa finance uchukue petty cash ushike hio kifaa. Na hope si chocha. Target ya Feb lazima tua achieve.
JOHNTE: Sawa boss
Hizi Ni cichlids zimejaa Kwa mitaro huko eastlands
Hebu kam na evidence hata Mimi siwezi mind kutega samaki, inaweza kuwa form ya weekend…
Two idle idiots
steal/fish from the pocket of the deserving, usiguze wakuruuu
Mkamba mjinga Leo huuzi mkundu?
Kanyaga shingo.
Nairobi’s river I thought zote ni sewage. Huko karura na ngong forest Kenya forest police will not arrest you.
Ngong ndiyo nimeenda hakuna shida huko
Wacha ni nunue fishing gear huko chaina.