Gold Mafia Episode2

Kamlesh Pattni namalisa Zimbabwe.
Gold Mafia episode 2 just dropped.

https://www.youtube.com/watch?v=HYIcCoYt9YE

What do Angel, Patel na I think Rikki have in common? Corrupt money launderers na ni pastors. That’s why I left the church juu ni corrupt. Nafuata kile Jesus alisema… no one goes to the Father except through Me. Hakusema twende church ndio twende kwa God. Hii series imewaanika vilivyo with their fake churches.

Kwanza vile huyo pastor wa Zimbabwe alikuwa anapredict scores za EPL nilijipata ninacheka tu. Ppl in churches can be really stupid.

:D:D:D:D:D:D hio ep 1 ilikua mwenda sana gullible morons kila mahali