Goat head

Kumbe it is such a popular thing worldwide.

https://www.youtube.com/watch?v=f0gxwTwmrqY

Hio si ni sembe kando yake? Hii kichwa huwa tamu saidi design ya sunguch…na ka firifiri kando yake wacha tu …hehe by the way Niliona pia walami hutengeneza mtura na kachumbari. Thought that’s our culture as Africans then realized goats are reared all over the world.

Kichwa ya mbuzi,sembe ,thufu na kachumbari hua sawa kama gabion before I partake several “ru hias” za muratina pale shagz

Huko Scotland wanakuwanga na rwariūngū wanaiita haggis

Kama pilipili mbili hivi ziongezwe

Na iwe served hot!

Nakubaliana nanyinyi

Na je mûkamo huitwa aje.

Niaje emali?

Ata India wako na ndondero zinaitwa tandori

Engine

kanda ya Gìthìnjìro niaje

Hakuna kitu tamu kama kichwa na miguu za mbuzi zimechomwa zikachemshwa. Tamu sana the next day

Youtube has taught us that human beings are in fact very similar.

Lakini hio bonobo iko kwa hio video ikirudi kwao Muranga ama Lagos inaanza ku set standards ikienda bash in the village. “Me I don’t eat such. Is it well cooked?”

Hujalalisha mkundu wewe?

Njaruo, najua umeumwa lakini ukweli lazima usemwe. Ukiwa Iceland unakula mgongo wasi na mbuta bila wasi wasi. Bila taswisi yoyote yawa.

Lakini ukirudi kwenu Ugunja Siaya unaanza kujifanya sijui upewe uma sijui this meat is not tenderized, sijui has this meat been tested by the relevant authorities?

Setting standards.

Maliza hiyo jangili…

Kumbe hii haggis is basically mutura and ndundiro and they make it exactly the same way we do. Kweli we humans are all the same.

Haiya? Karibu maneno ifanane?

Yeah, that’s the term…ndondero ama ngerima, not rwariūngū. I think rwariüngü ni spleen or something…