Glenfiddich

Kuna madoggy huwa naskia zikiuliza difference ya premium akoho na chrome ama konyagi ni nini. Well, make a point ya kununua genuine 12+ year old Glenfiddich halafu urudi tuongee. The first time nilikunywa hii kitu in 2019 nilisema chang’aa na mimi khandi tawe. Mimi ni msee wa beer but anytime nimeangukia, lazima nipigie mwili pole na hii kinywaji ya minimum 12 years. Knowing kenyans, i am very particular about my sources. Kama sii duty free wacha niletewe kutoka mayolo. Jaribuni. Asandi.

Kupata kinywaji safi hii Nairobi ni ngumu… bidhaa za EABL zenyewe zina taste kama chemikali… hizo nugu siku hizi zinaweka tu flavoring and color in their spirits… hakuna different between Jebel and VAT69.

Mwili pole ni single malt over 15 years. Although blended johnny, green or blue also work

mimi Whisky natamabua ni JAMESON very smooth unique taste, hizo takataka ati Glen, Johny walker, JD, Henessy i never liked their taste na am talking of original drinks. none has ever come near JAMESON .

Hata tukiwa na viongozi wanjichocha ati glen sijui 18 years mimi huchukua mzinga ya Jameson polepole namumumunya polepole

Nimejaribu hiyo kitu. Smooth as a snakes belly. But bei nayo lazima ufike.

UKi-hii Peleka huko mbali Navy SEAL.

Banae. Haung’ang’ani kumeza kama takataka zingine. Halafu upate a well done steak ama mbavu ya mbuzi imechomwa na foil. Hatari sana.

@Edu Smitten leta picha na Bei plus where to get ile exact Moldova wine you mentioned iko na 14% alc by vol.

Heshimu JD kijana. You cant put JD and Glenrock in the same sentence buana.

Don Montego na products kutoka Moldova tastes the same.

Kane Extra si mbaya pia

Konyagi damu