Give Words: African Presidents huddled in iron chairs at the DRC - Rwanda US summit! (Kwikwikwikwikwi) Tanzania tunawacheka sana - Slavery is Real

Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba​:joy::joy::joy:, hakuna meza wala maji ya kunywa! Wengine hata kalio hazitoshi, jinsi walivyonona​:joy::joy:

Ni tuviti tu twa chuma!

Ielezee picha hii kwa mstari mmoja tu​:new_moon_face:

The DRC–Rwanda summit under U.S. mediation paints a stark picture of African leaders squeezed on metal chairs, stripped of luxury and ceremony. It symbolizes humility, discomfort, and irony—no red carpets, no lavish setups, just raw negotiations. A reminder that reconciliation outweighs prestige, even amid laughter and satire.

Vipi jombaa vurugu ziliisha ama bado.

Suluhu atapata electric chair, wait and see. Who is she?

Hio ni nchi maskini kama tu @255 wakikuja huko tz, viongozi wajinga kama hawa watakalia benchi za mbao